nimekusamehe lakini sitokusahau aliimba nani tena???
Unaomba msamaha hata kama kosa si lako ndo solution mambo yaishe na maisha yaendelee mbele
Looo mie sehemu hizo huwa sirembi, napiga mzigo kwanza nikimaliza kama kununa niendelee kununa
kama husahau,basi hujasamehe....
Kama mnamapenzi ya kweli sidhani kama hivo visasi vitakuwepo.
Ni vizuri linapotokea tatizo wote mkajishusha,mkazungumza kisha mkajua nani mwenye tatizo halafu yakaisha kwa amani na furaha!
Kibaya zaidi wanawake wengi mnagombana asubuhi
mnayamaliza....
Wewe unafikiri yameisha......
Sasa pale jioni unapotaka game......ndo yanaaaanza upyaaaaaaaaaa....
Talaka mnatafutaga wenyewe kwa kweli
lol...samahani wapendwa kama ntakuwa nimechakachua huu uzi,
lakini sio kusudio langu wajameni,
kuna siku nilisikia hoja kutoka kwa jamaa mmoja anadai kwenye ndoa,
cha msingi ni upendo na wala sio uvumilivu,
Upendo ndo kila kitu, lakini uvumilivu unatoa picha kuwa,
unakuwa na mwenzako hata kama amekukosea basi unavumilia tu,
mabaya yake, uovu wake; vyote unaendelea kuvivumilia kwakuwa,
kwenye ndoa unapaswa kuvumilia ili maisha yaendelee.
Lakini laiti kama ukiwa na upendo kwa mwenzio basi hayo mengine yanakuja automatically.
Hitimisho:''Uvumilivu sio component ya msingi kwenye ndoa"
sijui ukweli ni upi hapo!!!!!!!!
Kwaherini na samahani kama nimewachakachulia uzi,
najua hata Mungu hapaendi!!!!!!
Interesting eh.I usually think wanaume ndo wagumu kujishusha na kuwa kujishusha ni kwa wanawake tu!! Thanx Boss another day, another knowledge
Ningeomba ufafanuzi kujishusha ndo kukoje? Kuna maanisha
1. Uombe msamaha hata kama kosa si lako?
2. Ukae kimya -usijibizane naye pale ambapo amepanda
3. Kumjibu kwa upole ukijaribu kumwelewesha??
1. Kuomba msamaha hata kama kosa si lako inawezakuwa njia nzuri ya kumaliza hacra zake kwa wakati huo. But hii inatakiwa iwe na follow-up plan yaani utafute siku mko vizuri uclear whatever mlichokuwa mnagombana (Hapa nitaambiwa una-bank makosa) Potelea mbali lakini ni vema mkawekana sawa kwani haichelewi kuwa kawaida - yaani akajua akifanya makosa utakiri wewe na kisha imetoka. Unamzoesha
2. kukaa kimya pale anapopandisha - inategemea na mtu, mwingine anawezakukuchukulia una kiburi na dharau ndio maana umemgeuza radio- anaongea we unasikiliza. Mwingine anawezakukuelewa
3. Kumjibu kwa upole- akiwa mwelewa atakusikiliza but kama kapandisha jazba sidhani kama itawork. But mwingine anawezakuona unamjibu kwa kuwa unajeuri.
So nafikiri inategemea situation yenyewe but always ya kwanza (iwe na follow-up) husave more trouble
Nimekusamehe lakini sitokusahau aliimba nani tena???
Unaomba msamaha hata kama kosa si lako ndo solution mambo yaishe na maisha yaendelee mbele
Dah, sipati picha hii huwa inakuwaje,
yaani mnuno unakuwa umeuweka pending, kisha mzigo kama kawa!!lol.....
I wish i would be there watching you..................................
Mwanajamii1, umefafanua vizuri tena kuhusiana na situations. nadhani suala la kujishusha liwe linafikiriwa na pande zote mbili, mtu akiwa amekosea aweze kuomba msamaha..
lol...samahani wapendwa kama ntakuwa nimechakachua huu uzi,
lakini sio kusudio langu wajameni,
kuna siku nilisikia hoja kutoka kwa jamaa mmoja anadai kwenye ndoa,
cha msingi ni upendo na wala sio uvumilivu,
Upendo ndo kila kitu, lakini uvumilivu unatoa picha kuwa,
unakuwa na mwenzako hata kama amekukosea basi unavumilia tu,
mabaya yake, uovu wake; vyote unaendelea kuvivumilia kwakuwa,
kwenye ndoa unapaswa kuvumilia ili maisha yaendelee.
Lakini laiti kama ukiwa na upendo kwa mwenzio basi hayo mengine yanakuja automatically.
Hitimisho:''Uvumilivu sio component ya msingi kwenye ndoa"
sijui ukweli ni upi hapo!!!!!!!!
Kwaherini na samahani kama nimewachakachulia uzi,
najua hata Mungu hapaendi!!!!!!
Kibaya zaidi wanawake wengi mnagombana asubuhi
mnayamaliza....
Wewe unafikiri yameisha......
Sasa pale jioni unapotaka game......ndo yanaaaanza upyaaaaaaaaaa....
Talaka mnatafutaga wenyewe kwa kweli
Mhhh nimesahau kama mimi hua najishusha au najiweka juu kama mlima Sayuni!Ngoja nikumbuke mara ya mwisho ilikuaje!!
Ohhh owkey..last time nilituliza makeke kwa faida binafsi lakini.Ila mara nyingi hua napenda kuongea yaishe...sipendi viporo maana hua naendelea kukasirika kwahiyo nikiona vipi nashuka chini kidogo kumpa mwenzangu unafuu wa kujieleza !
Mtu kujishusha ni muhimu sana maana ikiwa wote mnajiweka juu tu amani haipatilabi kirahisi na kuachana itakua ni rahisi kama kuagana usiku mwema!Wale wasioweza kufanya hivi inabidi wajifunze!
Ni sawa ila nadhani ni vema ukacheza ngoma kama inavyopigwa na sio ivumavyo maana ikivuma sana mwisho huwa mnaujua.
Hivyo mwenzio akipanda panda akishuka shuka namaana moja lazima uwe na ile hali ya woga kuwa ukipanda au ukijishusha sana kunathari yake haijalishi mwanamke au mwanaume.{ukijishusha sana kunakudharaulika au kujipandikiza utumwa b'se omba omba huzidisha unyonge na ukipanda sana kumbuka ujasiri ukizidi huwa ukatili lazima uogope ndo maana hata jasiri huingia vita kabeba sila cause hujua kuna kufa} Chamsingi ni busara ya usuluhishi kufuata mkondo wake, baba mama na mtoto huwa na majukumu sawa katika familia directly and indirect be contigence. It doesn't cost.
Bacha mi nafikiri cha myuhimu hapo ni Upendo na uvumilivu uwe kiasi .ule tu wa kuyavumilia mapungufu ya mwenzi wako yale aliyoumbwa nayo na si yale atakayoyafanya kwa makusudi.
Ukiwa na upendo huwezimtenda mwenzio hivyo hakakuwa na sehemu ya kuexercise uvumilivu unaosemwa
Ukiwa na upendo huwezikwazwa na mwenzio kwa yale ambayo ni mapungufu yake ya kibinaadamu, hivyo hutapata pa kuexercise uvumilivu wako BUT
Ukiwa na upendo HUTOSITA kumvumilia mwenzio pale ambapo amepungukiwa............
Ila
Ukiwa na Uvumilivu bila upendo iko siku utashindwa kuvumilia zaidi
Ukiwa na uvumilivu bila upendo, utayabaini mapungufu ya mwenzio mengi (na mengine si mapungufu bali umeyafanya wewe yawe mapungufu)
Ukiwa na Uvumilivu bila upendo, hutojali mahitaji ya kimapenzi ya mwenzako.................
Kifupi
Upendo huambatana na uvumilivu- ni pacha but
Uvumilivu hukinzana na upendo
Hello wapendwa,
Kwa wapenzi/wanandoa linapotokea suala la mifarakano ya hapa na pale mpaka wengine kutaka kuachana, mnalichukuliaje suala la kujishusha? Hapa naongelea kuwa chini (kupunguza hasira/jazba) na kuweza kurudisha amani kwa kuanzisha maongezi au/na kuomba msamaha.
Pia, ukiwa na mtu asijependa kujishusha ilhali kakosea unakabiliana vipi na hali hii? Mana kuna mtu hakubali kosa yao wala kuomba msamaha hata kama amekosea.
Wimbo mahususi:- Ain't Too Proud To Beg - The Temptations
Siku njema katika kulijenga Taifa!...
Una akili kama babu yangu....ndoa sio mapambano...watu wanapambana mpaka kukosa usingizi eti ili tu ndo iwepo!!!mimi ninachopinga ni kuwa the price ya kuifanya ndoa idumu isiwe kubwaa saana
mpaka raha isiwepo.....
mimi ninachopinga ni kuwa the price ya kuifanya ndoa idumu isiwe kubwaa saana
mpaka raha isiwepo.....
Huko kwa kutia unyonge sifiki babaaangu!I do ot reasonably....