Kila kitu kinawezekana CONGRATSNapenda kuchukua fursa hii kujisifu,kwa sababu huu ni mwaka wa 11 ndani ya ndoa bila kutoka nje ya ndoa yaani kuwa na mahusiyano na mwanamke mwingine nje ya ndoa yangu,je ni wanaume wangapi wameliweza hilo? marafiki zangu wengi wameshindwa,je wewe!jichunguze chukua hatua,naomba mnisifu kwa hili
Hongera ndugu!duh si kidogo naomba na shem nae awe hivyo usije chakachuliwa!Napenda kuchukua fursa hii kujisifu,kwa sababu huu ni mwaka wa 11 ndani ya ndoa bila kutoka nje ya ndoa yaani kuwa na mahusiyano na mwanamke mwingine nje ya ndoa yangu,je ni wanaume wangapi wameliweza hilo? marafiki zangu wengi wameshindwa,je wewe!jichunguze chukua hatua,naomba mnisifu kwa hili
Napenda kuchukua fursa hii kujisifu,kwa sababu huu ni mwaka wa 11 ndani ya ndoa bila kutoka nje ya ndoa yaani kuwa na mahusiyano na mwanamke mwingine nje ya ndoa yangu,je ni wanaume wangapi wameliweza hilo? marafiki zangu wengi wameshindwa,je wewe!jichunguze chukua hatua,naomba mnisifu kwa hili
Hongera
endelea kuomba Mungu azidi kukuepusha na vishawishi.
mfikishe miaka 50 ya ndoa bila kuchakachua.
hapo sasa...........Hongera sana Mike wewe nikuendelea kumwomba Mungu vishawishi vikuepuke. Mkeo nae hajatoka nje ya ndoa? Naona umejifagilia peke yako tu...
Asante sana na kweli inabidi niendelee kumuomba mungu mpaka nifikishe hiyo miakaHongera
endelea kuomba Mungu azidi kukuepusha na vishawishi.
mfikishe miaka 50 ya ndoa bila kuchakachua.
kwa kweli hilo sijui na sipendi kumchunguzaHongera sana Mike wewe nikuendelea kumwomba Mungu vishawishi vikuepuke. Mkeo nae hajatoka nje ya ndoa? Naona umejifagilia peke yako tu...
Hapo kwa blue....anaweza kuusemea moyo wa mkewe?
siwezi jua mpaka siku itokeeBibi anataka kujua na mamsapu kama nae ana miaka 11 bila ..........
kwa kweli kwa upande wa mke wangu sijuii,maana nikisafiri tunaongea mda wote na nikirudi sioni kama kua madiliko lolote,na mwamini kama ninavyo jiamini,sijui sisi ni binadamu ila kwakuwa sijawahi kumtenda basi naomba na mimim asinitende
Thank u sanaWell done and keep it up!
Mwenyezi aendelee kukulindeni nyote wawili!
bonge la mwanaume mko wachache sana katika sayari hii!kwa kweli kwa upande wa mke wangu sijuii,maana nikisafiri tunaongea mda wote na nikirudi sioni kama kua madiliko lolote,na mwamini kama ninavyo jiamini,sijui sisi ni binadamu ila kwakuwa sijawahi kumtenda basi naomba na mimim asinitende
Hongera mkuu!
Vipi umecheki na wife ili kujiridhisha na yeye hajachakachua?
kwa kweli kwa upande wa mke wangu sijuii,maana nikisafiri tunaongea mda wote na nikirudi sioni kama kua madiliko lolote,na mwamini kama ninavyo jiamini,sijui sisi ni binadamu ila kwakuwa sijawahi kumtenda basi naomba na mimim asinitende