habari zenu madaktari humu, mwenzenu hivi karibuni najisikia kuchokachoka na kupatwa na usingizi kila mala, maleria sina wala homa yoyote ila tu mwili unakuwa wa kuchokachoka tu, nini sababu ya hili? dawa gani naweza kutumia?
Hiyo ni dalili ya kupata pressure au kisukari. Jitahidi kufanya mazoezi japo ya saa nzima kwa siku. Mazoezi yawe ya kukutoa jasho ili kuondoa uchafu unajikusanya mwilini. Kama haufanyi mazoezi ya kukutoa jasho, Cell za mwili zinapotoa uchafu unakuwa hautoki kwa msukumo unaofaa, hivyo unabaki mwilini na kusababisha hali hiyo.
Ukifanya mazoezi unalazimisha moyo usukume damu mwilini kwa haraka na kusukuma uchafu ama nje ya mwili kupitia ngozi ama lymph system na kuchujwa na kutoka kama haja kubwa na ndogo. Kula vizuri hasa mboga mboga na vyakula vya asili vitasaidia kurudisha siha yako.
go for general body check up,if nothing seen,nenda ufanyiwe maombi ukiwa unakabwa na jinamizi usiku uleta hali kama iyo.pole xana utapona ndg Mungu yupo