Kujitambulisha

Kujitambulisha

Tamatheo

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Posts
3,298
Reaction score
1,560
Nina furaha kuwa miongoni mwa wanajamiiforums. Ni matumaini yangu kwangu mtaniunga mkono ili tuweza kujadili mambo mbalimbali yannayotuzunguka. thanks
 
Nilidhani kujitambulisha kwa wazazi wa mtarajiwa!!
Nwy. . .haya karibu.
 
Tamatheo huwa tunapiga hodi na kujitambulisha barazani we umekuja mpaka chumbani, haya karibu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom