Kujitambulisha

Kujitambulisha

Morrison

Senior Member
Joined
Jun 6, 2012
Posts
102
Reaction score
17
Hodiii jukwaani, mu hali gani jamani, nimechoka taaban mutakapojua yangu hali. Maisha yamekuwa ghali kuishi tena sitamani. Napanda jukwaani kwa dhiki huenda nikajifariji.
 
Pita ndani utafarijika humu ndani.
 
Back
Top Bottom