M Morrison Senior Member Joined Jun 6, 2012 Posts 102 Reaction score 17 Jun 7, 2012 #1 Hodiii jukwaani, mu hali gani jamani, nimechoka taaban mutakapojua yangu hali. Maisha yamekuwa ghali kuishi tena sitamani. Napanda jukwaani kwa dhiki huenda nikajifariji.
Hodiii jukwaani, mu hali gani jamani, nimechoka taaban mutakapojua yangu hali. Maisha yamekuwa ghali kuishi tena sitamani. Napanda jukwaani kwa dhiki huenda nikajifariji.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Jun 7, 2012 #2 Karibu sana JF mkuu.
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 8,659 Reaction score 2,227 Jun 7, 2012 #3 Karibu sana JF.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Jun 7, 2012 #4 Pita ndani utafarijika humu ndani.