Mkatavimeo
JF-Expert Member
- Jan 3, 2011
- 2,150
- 872
Utoto, ulimbukeni, ushamba, lack of confidence and all that shit. Kimsingi it is nonsense!hivi kunaulazima kama umetengana na boyfriend/girlfriend wako kwenda kuanika kwa FACEBOOK!!!
inaulazima kiasi gani, afu mara nyingi yule anayekuwa na makosa ndo wakwanza kujishuku kwa FB
teh teh
aliyekwambia nimetangaza kwamba unawatangazia nani?nani amekwambia utangaze kwamba mimi nawatangazia humu .........
Ha ha ha ha ha mtaalamu wa lugha nakuaminia.....aliyekwambia nimetangaza kwamba unawatangazia nani?
umeambiwa kuna mtu kaniambia?Sasa nani kakwambia natangaza humu
hivi kunaulazima kama umetengana na boyfriend/girlfriend wako kwenda kuanika kwa FACEBOOK!!!
inaulazima kiasi gani, afu mara nyingi yule anayekuwa na makosa ndo wakwanza kujishuku kwa FB
teh teh
Tunamwambia mambo ya FB akawaambie huko huko hapa haihuuMmh..naona watu mnazodoana tu hapa, ngoja nipite tu
unarudi kuwatetea magamba? Kila la heri.Mmh..naona watu mnazodoana tu hapa, ngoja nipite tu
Jamani mambo ya kule tuyaache kule kule! Huku tuongee mambo yetu kwani haya yana msingi zaidi!!unarudi kuwatetea magamba? Kila la heri.
Kweli kabisa..mambo ya ngoswe wamuachie ngoswe mwenyewe!Tunamwambia mambo ya FB akawaambie huko huko hapa haihuu
Umeona eeh? Ni km mnagombana chumbani halafu unaleta sebuleni inahuu?!Kweli kabisa..mambo ya ngoswe wamuachie ngoswe mwenyewe!
Umeona eeh? Ni km mnagombana chumbani halafu unaleta sebuleni inahuu?!
Kumbe ndio maana humu kunakuwaga na darasa la jinsi ya kutongoza!!Na wewe badilisha hii avatar yako inadhalilisha wanawake wa kitanzania kuanika mabega yako na manyonyo hayajashikwa vizuri.