Mrs Kharusy JF-Expert Member Joined Sep 23, 2013 Posts 1,244 Reaction score 671 Mar 9, 2014 #21 Kiswahiri kigumu.....
fundicmu Member Joined Mar 10, 2014 Posts 15 Reaction score 8 Mar 11, 2014 #22 Tempted to touch!♥
K kataleya JF-Expert Member Joined Dec 9, 2012 Posts 223 Reaction score 53 Mar 11, 2014 #23 kanyumiza said: maana watu wengne badala ya kutoa mada nzuri wao wanasifia vyuuhusu vyuoo vya watu na wala c vya wazazi wao, ikumbukwe atanzania wye wanapomalza shule huishia ktafta kazi hvyo hakuna haja ya marumbano kuhusu vyuo Click to expand... bila shaka ulipata F' ya kiswahili
kanyumiza said: maana watu wengne badala ya kutoa mada nzuri wao wanasifia vyuuhusu vyuoo vya watu na wala c vya wazazi wao, ikumbukwe atanzania wye wanapomalza shule huishia ktafta kazi hvyo hakuna haja ya marumbano kuhusu vyuo Click to expand... bila shaka ulipata F' ya kiswahili
B bummy Member Joined Mar 10, 2014 Posts 40 Reaction score 8 Mar 11, 2014 #24 Hakuna chuo kibaya wala kizur cha msingi umetoka na nn kichwan...
Down To Earth JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 21,940 Reaction score 16,643 Mar 11, 2014 #25 aisee umeandika hovyo sana!!
mke wa mkuu JF-Expert Member Joined Dec 19, 2013 Posts 634 Reaction score 277 Mar 11, 2014 #26 Naona una asili ya kikuria maana mleta mada kaboronga kiswahili dahh chuo furani badala ya chuo fulani. Kuangaria baadala ya kuangalia
Naona una asili ya kikuria maana mleta mada kaboronga kiswahili dahh chuo furani badala ya chuo fulani. Kuangaria baadala ya kuangalia