Kujitegemea

Kujitegemea

saimon amos

Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
16
Reaction score
7
Wadau naomben ushauri na maono yenu katika hili
Mimi ni kijana wa miaka 20 nimekua nikijifunza ufundi aluminum Sasa ni mwaka wa pili nakaa kwa shemej yangu Sasa imefika muda mwafaka wa kutoka na kuanza kujitegemea.Nahitaji kuwa na najitegemea nilikuwa na wazo la kuuza RABA za mitumba kutokana na muda wa kuwa takua kwenye kazi yangu penda nahitaji kuwa na sehem nyngine ya kuniingizia kipato.NAOMBENI USHURI WENU
 
Unataka uuze viatu au uendelee na ufundi aluminium!???
Hujasema unapatikana wapi
 
Napenda kuendelea na kazi ya ufundi Ila Kama unavyo jua Kaz Zina muda wake kunakioindi zipo na hazipo Sasa tatenga muda takuwa natoka saa 12 naendakujichanganya
 
Kwanza tafta hela....nunua vitu vya ndan...andaa kodi na hela ya dalali....

Kkubwa hakikisha unapata kazi ya kudum ili umudu gharama za kodi...umeme...maji nk....!!

Hlf pia ucfanye kuhama kwakuwa unakimbia kchekwa na watu au majiran

Usihame kwa ajili ya umri

Hama kwakuw upo tyr kupanga...!!

Sitaki kuckia unaanzisha uzi mwngne kuwa umerudi kwa shemej
 
Wadau naomben ushauri na maono yenu katika hili
Mimi ni kijana wa miaka 20 nimekua nikijifunza ufundi aluminum Sasa ni mwaka wa pili nakaa kwa shemej yangu Sasa imefika muda mwafaka wa kutoka na kuanza kujitegemea.Nahitaji kuwa na najitegemea nilikuwa na wazo la kuuza RABA za mitumba kutokana na muda wa kuwa takua kwenye kazi yangu penda nahitaji kuwa na sehem nyngine ya kuniingizia kipato.NAOMBENI USHURI WENU
Uza nguo na viatu vya Wanawake na watoto... Hizo ni fast moving products
 
Wadau naomben ushauri na maono yenu katika hili
Mimi ni kijana wa miaka 20 nimekua nikijifunza ufundi aluminum Sasa ni mwaka wa pili nakaa kwa shemej yangu Sasa imefika muda mwafaka wa kutoka na kuanza kujitegemea.Nahitaji kuwa na najitegemea nilikuwa na wazo la kuuza RABA za mitumba kutokana na muda wa kuwa takua kwenye kazi yangu penda nahitaji kuwa na sehem nyngine ya kuniingizia kipato.NAOMBENI USHURI WENU
umechoka kulala sebueni kama baiskeli??.
boss ukipata mtaji waviatu nicheki ntakuongezea mzani uweunawapima uzito
 
Kwanza tafta hela....nunua vitu vya ndan...andaa kodi na hela ya dalali....

Kkubwa hakikisha unapata kazi ya kudum ili umudu gharama za kodi...umeme...maji nk....!!

Hlf pia ucfanye kuhama kwakuwa unakimbia kchekwa na watu au majiran

Usihame kwa ajili ya umri

Hama kwakuw upo tyr kupanga...!!

Sitaki kuckia unaanzisha uzi mwngne kuwa umerudi kwa shemej
Nimekuelewa Sana shukrana sana
 
Back
Top Bottom