saimon amos
Member
- Dec 31, 2018
- 16
- 7
Nataka ushauri maana siwezi acha kazi ya ufund Ila nataka kutenga muda mfano ikifika saa 12 jiona natoka na viatu naenda kupambania kombeUnataka tukushauri nini?
Napenda kuendelea na kazi ya ufundi Ila Kama unavyo jua Kaz Zina muda wake kunakioindi zipo na hazipo Sasa tatenga muda takuwa natoka saa 12 naendakujichanganyaUnataka uuze viatu au uendelee na ufundi aluminium!???
Hujasema unapatikana wapi
Uza nguo na viatu vya Wanawake na watoto... Hizo ni fast moving productsWadau naomben ushauri na maono yenu katika hili
Mimi ni kijana wa miaka 20 nimekua nikijifunza ufundi aluminum Sasa ni mwaka wa pili nakaa kwa shemej yangu Sasa imefika muda mwafaka wa kutoka na kuanza kujitegemea.Nahitaji kuwa na najitegemea nilikuwa na wazo la kuuza RABA za mitumba kutokana na muda wa kuwa takua kwenye kazi yangu penda nahitaji kuwa na sehem nyngine ya kuniingizia kipato.NAOMBENI USHURI WENU
umechoka kulala sebueni kama baiskeli??.Wadau naomben ushauri na maono yenu katika hili
Mimi ni kijana wa miaka 20 nimekua nikijifunza ufundi aluminum Sasa ni mwaka wa pili nakaa kwa shemej yangu Sasa imefika muda mwafaka wa kutoka na kuanza kujitegemea.Nahitaji kuwa na najitegemea nilikuwa na wazo la kuuza RABA za mitumba kutokana na muda wa kuwa takua kwenye kazi yangu penda nahitaji kuwa na sehem nyngine ya kuniingizia kipato.NAOMBENI USHURI WENU
umechoka kulala sebueni kama baiskeli??.
boss ukipata mtaji waviatu nicheki ntakuongezea mzani uweunawapima uzito
Shukran kwa mawazo mapana appreciateUza nguo na viatu vya Wanawake na watoto... Hizo ni fast moving products
Nimekuelewa Sana shukrana sanaKwanza tafta hela....nunua vitu vya ndan...andaa kodi na hela ya dalali....
Kkubwa hakikisha unapata kazi ya kudum ili umudu gharama za kodi...umeme...maji nk....!!
Hlf pia ucfanye kuhama kwakuwa unakimbia kchekwa na watu au majiran
Usihame kwa ajili ya umri
Hama kwakuw upo tyr kupanga...!!
Sitaki kuckia unaanzisha uzi mwngne kuwa umerudi kwa shemej