Kujitibu maumivu ya kichwa kwa dakika 5 pasipo kutumia dawa jaribu hii

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363


Natural Therapy For Headaches!
In about 5 mins, your headache will go.......


The nose has a left and a right side.
We use both to inhale and exhale.
Actually they are different.
You'll be able to feel the difference.


The right side represents the sun.
The left side represents the moon.


During a headache, try to close your right nose
and use your left nose to breathe.
In about 5 mins, your headache will go.


If you feel tired, just reverse, close your left nose
and breathe through your right nose.
After a while, you will feel your mind is refreshed.


Right side belongs to 'hot', so it gets heated up easily.
Left side belongs to 'cold'.


Most females breathe with their left noses,
so they get "cooled off" faster.
Most of the guys breathe with their right noses,
they get worked up.


Do you notice, the moment you awake, which side breathes better?
Left or right ?
If left is better, you will feel tired.
So, close your left nose and use your right nose for breathing..
You will feel refreshed quickly.


Do you suffer from continual headaches?
Try out this breathing therapy.


Close your right nose and breathe through your left nose.
Your headaches will be gone.
Continued the exercise for one month.


Why not give it a try.....a natural therapy without medication............

Dawa ya kutibu maradhi ya kichwa ziba tundu moja ya Pua yako kwa dakika5 kisha achia utakuwa umepona. La kama Ukiwa haujapona Ziba tundu ingine ya Pua yako kwa dakika 5 zingine utakuwa umepona kabiasa.
 
Nitaifanyia kazi na hasa kwa uchovu, ila binafsi maumivu ya kichwa mara zote huwa nachukulia kama dalili za malaria. thanks anyway
 
Mzizi nisaidie mpenzi wangu amekuwa kwa takribani mwezi sasa anasumbuliwa na kichwa asubuhi kila anapoamka na staili kinavyomuu ni kuzunguka kichwa (yaani ule mzunguko kutoka kisogoni mpaka mbele kwenye kipanda uso) baada ya muda kinaweza kikatulia au kisitulie au kikatulia akiishaanza pilikapili za kazi mida kama ya mchana kinaanza kumuuma tena so amekuwa mtu wa kunywa brufen kila wakati kutuliza maumivu.

Mwenyewe anadai hasikii shida nyingine zaidi ya hicho kichwa ila pia amekuwa na mafua sugu sio makali ni kama alegi fulani alishawahi kuambia ana aleji ya vumbi na manukato na akapewa dawa lakini nafuu huwa kwa muda tu then tatizo linajirudia. Je katika dawa mbadala za asili kuna itakayoweza mfaa.

Natanguliza shukurani zangu.
 
Mkuu Rubi Mwambie atumie hii dawa yangu kila anapo umwa na kichwa kisha uje hapa unipe feedback.

Maumivu ya Kichwa


Chukua unga wa Habbat-Sawdaa kipimo cha vijiko 3 kikubwa cha kulia wali ,na karafuu iliosagwa nusu ya kiwango cha Habbat-Sawdaa na Anisuni (anise) kijiko kimoja na nusu , halafu Uchanganye

pamoja. Uchukue kiasi cha kijiko kimoja (cha chai), wakati wa kuumwa na kichwa, na Unywe na maziwa lala (mala), na Unga mwengine wa kupasugua

mahala panapo uma kwa mafuta ya Habbat-Sawdaa .huo unga changanya na hayo mafuta ya
Habbat-Sawdaa ujisugue.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mzizi ubarikiwe sana habati soda ya unga ninayo, karafuu ninayo, ila hiyo anisuni mbona siijui au ina jina lingine nataka nikaitafute leo hii hii pamoja na mafuta ya habati. si unajua Mpenzi akiumwa hata kama ni wewe unakosa furaha. Daima inafurahisha mkiamka wazima mwaimba na kushukuru Mungu na mkilala Mwashukuru pia ingawa mengine yote ni mitihani na majaribu ya maisha that's why twapaswa kushukuru kwa yote.
 

mwambie aende hospitali
 
sasa wewe MziziMkavu hujui wengine hiyo lugha inatupa tabu hiyo thread yako inaweza kuwa imewanufaisha 50% ya watumiaji wa jf lkn ingekuwa kiswahili huenda ingefika 95%
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Rubi Hiyo anisuni kwa kiingereza inaitwa ( Anise)


[TD="colspan: 2, align: center"] [/TD]

[TD]P. anisum[/TD]
Pimpinella anisum



Anise ndio hiyo Anisuni.


Nigella Sativa oil au Blck seed oil. Mafuta ya Habati Sawda. Yanapatikana Mtaa wa pemba karibu na sokoni Kariakoo kwa Wauza Dawa za kipemba nenda kaulize utapata huko.
 
Last edited by a moderator:
Mzizi asante sana nitavitafuta vyote nitaleta matokeo.
 
Last edited by a moderator:
Headache yangu inasabaishwa high blood pressure how will this reduce blood pressure mechanisms au pathophysiology , Mzizimkavu
 
Headache yangu inasabaishwa high blood pressure how will this reduce blood pressure mechanisms au pathophysiology , Mzizimkavu
Mkuu Mupirocin kama hiyo Headache ndiyo inayo sababisha wewe upate high blood pressure Ku Reduce hiyo high blood pressure jaribu kila unapokuwa nayo hiyo high blood pressure tumia kipande kimoja cha kitunguu saumu kitafune na ukimeze fanya hivyo kila inapo panda hiyo high blood pressure itashuka tu inshallah tumia kisha uje unipe feedback.

 
Chai ya rangi is the best in relieving tension headache na pia cluster headache kama ya huyo anaesikia kama tight ring kichwani.jaribuni
 
Mzizimkavu Hypertension is Chronic disease kama kuna mtu ambaye umemtibu hivyo naomba umwambie anyoshe kidole hapa hata kama hayupo hapa nitamfuata aliko. Naomba utwambie mechanism ambavyo garric yaani kitunguu swaumu kinavyofanya kazi mwilini coz tunakula kila siku kwenye pilau tusingekuwa na patient wengi namna hii wenye BP wakati matibabu yake ni kula kitunguu swaumu tu.
 
Mkuu Mupirocin Sio tu Hypertension nimekupa Dawa hiyo ninazo Dawa nyingi tu za kutibu hiyo Hypertension Chronic disease siwezi kuweka hapa mkuu. Ninayo Dawa ya kutibu Asthma (Pumu) Maradhi ya Figo, Maradhi ya kifafa
Epilepsy maradhi ya Wendawazimu stroke
. Na maradhi mengine ya
Chronic disease ninazo Dawa za Mitishamba zinazo tibu baadhi ya maradhi ya Chronic disease
hiyo tu nimekupa mfano tu wa kitunguusamu kama una amini jaribu kumpa mtu mwenye Maradhi ya Hypertension Chronic uje unipe Feedback. Ukitaka kujuwa mimi kweli ninawasaidia watu humu ndani ya Jamii Forums jaribu kuzifuatilia Thread zangu utapata majibu yake humu humu ndani kuwa Dawa zangu zinafanya kazi kwa kiwango gani sijisifii hata kidogo fuatilia wewe mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…