The real Daniel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2017
- 2,117
- 7,899
Watu wameanza, oh kuondoka kwa GSM ni jambo baya wadhamini wataogopa kujitokeza[emoji3]
Sikilizeni, hakuna mdhamini atakaye ingia mkataba halali na ligi yetu ambaye atasumbuliwa, ila ukiingia mikataba ya hovyo, kwa kujaribu kupita mlango wa nyuma basi jua utapata taabu tu, lakini ukifuata taratibu zote hakuna shida.
Akina Vodacom, NBC, KBC, Azam tv (mkataba mpya), sports pesa, Kilimanjaro premium lager n.k hawajapata shida yoyote. Hakuna timu iliyowahi kuwagomea kuvaa nembo au kuhitaji maelezo ya ziada.
Ila mkataba wa Azam tv wa Kwanza TFF hawakukubaliana vilabu kuhusu malipo ya 100m kwa mwaka na yanga wakakataa ule mkataba kitu kilicholeta mgogoro mkubwa Sana,
Leo GSM ambaye anajijua kabisa ni kiongozi wa yanga then anapita mlango wa nyuma kwa kusaini mkataba na TFF ili avilazimishe vilabu kutia ndani Simba kuvaa nembo yake, then mtu anataka Simba tukubali tu kisa kuwabembeleza wadhamini[emoji2369].
GSM abaki yanga, huku kwenye ligi awaache ambao wanajari usawa kwa timu zote na ambao wanania ya kweli ya kuiendeleza ligi na siyo waliokuja kuikomoa Simba au yanga.
Waige mfano wa NBC na Vodacom ambao walikuwa tayari ku sacrifice rangi za Lebo zao ilimradi Kila timu isiwe na vikwazo, lakini pia hawakuchagua upande wowote Kati ya Simba na yanga.