GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kama ukiwa huna Akili Kubwa na siyo Critical Thinker kamwe Siku zote hutoweza Kumuelewa Genius Mwingine wa Kizanaki Waziri Mkuu, Kada Mwandamizi wa CCM na Jaji Mstaafu Mzee Joseph Sinde Warioba kwa yale ama anayoyaona au ayasemayo.
Amesema na Ameshasema mengi ila kwa leo GENTAMYCINE (Mzanaki Mwenzake) nimevutiwa tu na hii Kauli yake ifuatayo.
"Viongozi na hata Wastaafu wasipende sana Kutoa Maamuzi ya Kuvishinikiza Vyombo vingene katika Kuhukumu au Kulazimisha wafanye Watakavyo wao hii ni Hatari mno.
Vyombo vya Kimamlaka viwe Huru mfano TAKUKURU na asitokee Mtu akawaingilia katika Utendaji wao ili wafanye Watakavyo Wao"
Akhsante Mzee Warioba huna baya.