sanga misuka
Member
- Aug 24, 2017
- 49
- 61
Je inawezekana kwa mwanafunzi wa chuo anayesoma akawa anajitolea kufanya kazi kwenye kampuni au taasisi nje na chuo anachosoma
Nini maoni yako na utaratibu wake ukoje, na ushuhuda kutoka kwa watu waliowahi kufanya hivyo kipindi wapo chuo.
Asante
Nini maoni yako na utaratibu wake ukoje, na ushuhuda kutoka kwa watu waliowahi kufanya hivyo kipindi wapo chuo.
Asante