sanga misuka Member Joined Aug 24, 2017 Posts 49 Reaction score 61 Oct 15, 2024 #1 Je inawezekana kwa mwanafunzi wa chuo anayesoma akawa anajitolea kufanya kazi kwenye kampuni au taasisi nje na chuo anachosoma Nini maoni yako na utaratibu wake ukoje, na ushuhuda kutoka kwa watu waliowahi kufanya hivyo kipindi wapo chuo. Asante
Je inawezekana kwa mwanafunzi wa chuo anayesoma akawa anajitolea kufanya kazi kwenye kampuni au taasisi nje na chuo anachosoma Nini maoni yako na utaratibu wake ukoje, na ushuhuda kutoka kwa watu waliowahi kufanya hivyo kipindi wapo chuo. Asante
To yeye JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 35,686 Reaction score 86,968 Oct 15, 2024 #2 Anajichosha tu
Chrismoris JF-Expert Member Joined Oct 27, 2017 Posts 14,113 Reaction score 17,645 Oct 15, 2024 #3 sanga misuka said: Je inawezekana kwa mwanafunzi wa chuo anayesoma akawa anajitolea kufanya kazi kwenye kampuni au taasisi nje na chuo anachosoma . Nini maoni yako na utaratibu wake ukoje, na ushuhuda kutoka kwa watu waliowahi kufanya hivyo kipindi wapo chuo, Asante Click to expand... Kwa mfumo wenu Wa Kitanzania inabidi uwe unasoma course za jioni. La sivyo utafia kazini kwa uchovu.
sanga misuka said: Je inawezekana kwa mwanafunzi wa chuo anayesoma akawa anajitolea kufanya kazi kwenye kampuni au taasisi nje na chuo anachosoma . Nini maoni yako na utaratibu wake ukoje, na ushuhuda kutoka kwa watu waliowahi kufanya hivyo kipindi wapo chuo, Asante Click to expand... Kwa mfumo wenu Wa Kitanzania inabidi uwe unasoma course za jioni. La sivyo utafia kazini kwa uchovu.
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 33,679 Reaction score 49,841 Oct 15, 2024 #4 Kama nafasi ipo hakuna shida
sanga misuka Member Joined Aug 24, 2017 Posts 49 Reaction score 61 Oct 19, 2024 Thread starter #5 Kivipi anajichosa?? To yeye said: Anajichosha tu Click to expand...
To yeye JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 35,686 Reaction score 86,968 Oct 19, 2024 #6 sanga misuka said: Kivipi anajichosa?? Click to expand... Hiyo pesa ya kusoma ni kheri akachukue bello moja la mtumba
sanga misuka said: Kivipi anajichosa?? Click to expand... Hiyo pesa ya kusoma ni kheri akachukue bello moja la mtumba