Kujitolea kisiwe kigezo cha kupata ajira za serikali

Kujitolea kisiwe kigezo cha kupata ajira za serikali

Joined
Oct 30, 2018
Posts
35
Reaction score
62
AJira ni haki ya kila Mtanzania na kigezo cha kwamba wanaojitolea ndo wapate kipaumbele.

Kujitolea huo ni utashi binafsi na kujitolea itachangia kiasi kikubwa kwa serikali kuto toa ajira wakijua kuwa kuna watu wanafanya kazi bure. Serikali inatakiwa kufanya kazi yake ya kuwatafutia kazi vijana wake
 
Watu wengine hamna uzoefu wa kuajiri wala kuajiriwa. Simple Logic, mfano unamiliki kampuni anakuja kijana kamaliza chuo anakuomba kazi yoyote kwa kujitolea wala usimlipe ila mpe lunch na nauli tu.

Unamkubalia kishingo upande, baada ya miezi mitatu dogo anafanya kazi kwa bidii kwenye kutangaza kampuni hadi unaona ufanisi wake, je utaacha kumuajiri kabisa uanze kutangaza nafasi ya kazi upya!?,

Au utamchukua aliyeonyesha moyo kufanya kazi kwa bidii bila mshahara!?!?, Unaonekana mlalamishi, hauko tayari ku hussle ndo maana unachuki na waliojitolea mwisho wake wakapata ajira.

Unahisi wanaziba nafasi za wavivu kama wewe.
 
AJira ni haki ya kila mtanzania na kigezo cha kwamba wanaojitolea ndo wapate kipaumbele huo ni udwanzi , kujitolea huo ni utashi binafsi na kujitolea itachangia kiasi kikubwa kwa serikali kuto toa ajira wakijua kuwa kuna watu wanafanya kazi bure. Serikali inatakiwa kufanya kazi yake ya kuwatafutia kazi vijana wake .u
Kingine hiyo ni mbinu ya serikali kupunguza FOLENI ya wanaoomba ajira. Mfano,walimu wanaotakiwa ni 10,000 lakini wenye vyeti mtaani ni 200,000.

Kwa wakati huo kama kuna walimu 7000 wapo shuleni wanajitolea serikali inawabeba wote, zinabaki nafasi 3000 zigombaniwe na watu laki 2.

Sasa wewe upo kwenye hao laki 2 ndo maana umekuja hapa na hasira, unaona waliojitolea wamekuzibia riziki. Kwa kukushauri na wewe jitolee au endelea kulalamika JF.
 
Watu wengine hamna uzoefu wa kuajiri wala kuajiriwa. Simple Logic, mfano unamiliki kampuni anakuja kijana kamaliza chuo anakuomba kazi yoyote kwa kujitolea wala usimlipe ila ...
Uvivu wako wa fikra na sijamaanisha hvo kujitolea ndo uvivu mwenyewe huo wa kutokuwa na upana wa kufanya Mambo yako na kutegemea huruma ya . Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza 🧠🧠🧠
 
Kingine hiyo ni mbinu ya serikali kupunguza FOLENI ya wanaoomba ajira. Mfano,walimu wanaotakiwa ni 10,000 lakini wenye vyeti mtaani ni 200,000. Kwa wakati huo kama kuna walimu 7000 wapo shuleni wanajitolea serikali inawabeba wote, zinabaki nafasi 3000 zigombaniwe na watu laki 2. Sasa wewe upo kwenye hao laki 2 ndo maana umekuja hapa na hasira, unaona waliojitolea wamekuzibia riziki. Kwa kukushauri na wewe jitolee au endelea kulalamika JF.
🧠🧠🧠
 
AJira ni haki ya kila mtanzania na kigezo cha kwamba wanaojitolea ndo wapate kipaumbele huo ni udwanzi , kujitolea huo ni utashi binafsi na kujitolea itachangia kiasi kikubwa kwa serikali kuto toa ajira wakijua kuwa kuna watu wanafanya kazi bure. Serikali inatakiwa kufanya kazi yake ya kuwatafutia kazi vijana wake .u
Hiki kitu ni serious sana ,japo watu watachukulia simple ila ni ukweli kabisa

Kujitolea kumegubikwa na kujuana kupigiana mapande na michongo mingine

Kuna ofisi nilijaribu kuomba walau nafasi ya kujitolea, pamoja na vigezo yote nilikosa nafasi hiyo

Fast forward, utumishi wakatangaza ajira na nilipoenda nikakutana nawale ambao wamejitolea kwa miaka ila sikukata tamaa na Mungu akanipigania

Huwezi amini nilipenya, pamoja na kukutana na raia ambao wanajulikana mwanzo mwisho na viongozi wakongwe wa taasisi hiyo

Ina maana hapo wangezingatia kujitolea si lazima ningetoka deki?
 
Exactly
 
Uvivu wako wa fikra na sijamaanisha hvo kujitolea ndo uvivu mwenyewe huo wa kutokuwa na upana wa kufanya Mambo yako na kutegemea huruma ya . Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza 🧠🧠🧠
Kwenye haya maisha una option mbili, jiajiri kwa kufanya biashara yako hata kama ya mtaji mdogo au saga sole ya viatu kutafuta ajira(hapa kujipendekeza ikiwemo kujitolea mwanzo hakukwepeki) kutokana na ushindani. Option ya kulalamika mitandaoni haina nafasi. Waweza usinielewe ila ndo ukweli.
 
Acha uvivu mkuu kajitolee CV yako ishibe , yaani niache kuajiri mwenye uzoefu niajiri mkulima mwenye cheti tu bila uzoefu, Serikali haijiri kwa kumuonea mtu Huruma wanaajiki watu wakafanye kazi kwa ufanisi.
 
AJira ni haki ya kila mtanzania na kigezo cha kwamba wanaojitolea ndo wapate kipaumbele huo ni udwanzi , kujitolea huo ni utashi binafsi na kujitolea itachangia kiasi kikubwa kwa serikali kuto toa ajira wakijua kuwa kuna watu wanafanya kazi bure. Serikali inatakiwa kufanya kazi yake ya kuwatafutia kazi vijana wake .u
Sijawah kuamin kwenye kunitolea...Kwaiyo Bills zitajilipaje...Rent, Bundle, Food
 
Suala la kujitolea kuwa kigezo cha kipaumbele cha ajira sio sahihi kwa kua wahusika hawawi katika mizania sana ya kujitolea.
 
Acha uvivu mkuu kajitolee CV yako ishibe , yaani niache kuajiri mwenye uzoefu niajiri mkulima mwenye cheti tu bila uzoefu, Serikali haijiri kwa kumuonea mtu Huruma wanaajiki watu wakafanye kazi kwa ufanisi.
🤣 Duh bado sana
 
Back
Top Bottom