Gilbert Prudence
Member
- Oct 30, 2018
- 35
- 62
😂😂😂😂 Watu watajitolea mpaka wastaafuPunguza hasira na uandike polepole...
Kingine hiyo ni mbinu ya serikali kupunguza FOLENI ya wanaoomba ajira. Mfano,walimu wanaotakiwa ni 10,000 lakini wenye vyeti mtaani ni 200,000.AJira ni haki ya kila mtanzania na kigezo cha kwamba wanaojitolea ndo wapate kipaumbele huo ni udwanzi , kujitolea huo ni utashi binafsi na kujitolea itachangia kiasi kikubwa kwa serikali kuto toa ajira wakijua kuwa kuna watu wanafanya kazi bure. Serikali inatakiwa kufanya kazi yake ya kuwatafutia kazi vijana wake .u
Uvivu wako wa fikra na sijamaanisha hvo kujitolea ndo uvivu mwenyewe huo wa kutokuwa na upana wa kufanya Mambo yako na kutegemea huruma ya . Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza 🧠🧠🧠Watu wengine hamna uzoefu wa kuajiri wala kuajiriwa. Simple Logic, mfano unamiliki kampuni anakuja kijana kamaliza chuo anakuomba kazi yoyote kwa kujitolea wala usimlipe ila ...
Exactly hilo nakubaliana naloHuo ndio mwanya wa vigogo kuweka watoto wao...PSRS kugumu
🧠🧠🧠Kingine hiyo ni mbinu ya serikali kupunguza FOLENI ya wanaoomba ajira. Mfano,walimu wanaotakiwa ni 10,000 lakini wenye vyeti mtaani ni 200,000. Kwa wakati huo kama kuna walimu 7000 wapo shuleni wanajitolea serikali inawabeba wote, zinabaki nafasi 3000 zigombaniwe na watu laki 2. Sasa wewe upo kwenye hao laki 2 ndo maana umekuja hapa na hasira, unaona waliojitolea wamekuzibia riziki. Kwa kukushauri na wewe jitolee au endelea kulalamika JF.
Hiki kitu ni serious sana ,japo watu watachukulia simple ila ni ukweli kabisaAJira ni haki ya kila mtanzania na kigezo cha kwamba wanaojitolea ndo wapate kipaumbele huo ni udwanzi , kujitolea huo ni utashi binafsi na kujitolea itachangia kiasi kikubwa kwa serikali kuto toa ajira wakijua kuwa kuna watu wanafanya kazi bure. Serikali inatakiwa kufanya kazi yake ya kuwatafutia kazi vijana wake .u
ExactlyHiki kitu ni serious sana ,japo watu watachukulia simple ila ni ukweli kabisa
Kujitolea kumegubikwa na kujuana kupigiana mapande na michongo mingine
Kuna ofisi nilijaribu kuomba walau nafasi ya kujitolea, pamoja na vigezo yote nilikosa nafasi hiyo
Fast forward, utumishi wakatangaza ajira na nilipoenda nikakutana nawale ambao wamejitolea kwa miaka ila sikukata tamaa na Mungu akanipigania
Huwezi amini nilipenya, pamoja na kukutana na raia ambao wanajulikana mwanzo mwisho na viongozi wakongwe wa taasisi hiyo
Ina maana hapo wangezingatia kujitolea si lazima ningetoka deki?
Kwenye haya maisha una option mbili, jiajiri kwa kufanya biashara yako hata kama ya mtaji mdogo au saga sole ya viatu kutafuta ajira(hapa kujipendekeza ikiwemo kujitolea mwanzo hakukwepeki) kutokana na ushindani. Option ya kulalamika mitandaoni haina nafasi. Waweza usinielewe ila ndo ukweli.Uvivu wako wa fikra na sijamaanisha hvo kujitolea ndo uvivu mwenyewe huo wa kutokuwa na upana wa kufanya Mambo yako na kutegemea huruma ya . Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza 🧠🧠🧠
Sijawah kuamin kwenye kunitolea...Kwaiyo Bills zitajilipaje...Rent, Bundle, FoodAJira ni haki ya kila mtanzania na kigezo cha kwamba wanaojitolea ndo wapate kipaumbele huo ni udwanzi , kujitolea huo ni utashi binafsi na kujitolea itachangia kiasi kikubwa kwa serikali kuto toa ajira wakijua kuwa kuna watu wanafanya kazi bure. Serikali inatakiwa kufanya kazi yake ya kuwatafutia kazi vijana wake .u
Mwenyewe nawaza kama wewe 🤛Sijawah kuamin kwenye kunitolea...Kwaiyo Bills zitajilipaje...Rent, Bundle, Food
ExactlySuala la kujitolea kuwa kigezo cha kipaumbele cha ajira sio sahihi kwa kua wahusika hawawi katika mizania sana ya kujitolea.
🤣 Duh bado sanaAcha uvivu mkuu kajitolee CV yako ishibe , yaani niache kuajiri mwenye uzoefu niajiri mkulima mwenye cheti tu bila uzoefu, Serikali haijiri kwa kumuonea mtu Huruma wanaajiki watu wakafanye kazi kwa ufanisi.