Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,955
- 8,120
Habari zenu ndugu zangu wa jamii forum..Kuna hila suhala. Kuna watu wana mioyo ya kujitolea katika maishayao hiwe kwenye shida au raha wapo mstari wa mbele ikiwa ni kutoa damu au kuchangia fedha wapo mstari wa mbele bila kujali hali yao ya kipato ikoje je hii tabia wana fundishwa kutoka katika familia zao au ni moyo wa mtu tu?