Halotel dikuhizi niSijui kama kuna mtu ameona hili kwa halotel na Tigo, ukijiunga MB kwa kuingiza vocha ni tofauti na kujiunga moja kwa moja kutoka halopesa au Tigo Pesa.
Kujiunga kwa vocha mb zinakaa ila kujiunga kwa halopesa au tigo pesa mb zinaenda kwa kasi.
Nikijiunga kwa vocha GB 1 naweza kukaa siku 3 hadi 4 lakini kwa halopesa inaisha siku hiyo hiyo.
Sijui kama kuna aliyeexperience hili.
Sikuhizi hao Halotel ni wezi zaidi ya vibaka wa keko, unajiunga bando la internet la 1 GB ndani ya nusu saa unaambiwa umetumia 75% ya matumizi yako yote, labda kwa kucheck vitu bila ku download chochoteSijui kama kuna mtu ameona hili kwa halotel na Tigo, ukijiunga MB kwa kuingiza vocha ni tofauti na kujiunga moja kwa moja kutoka halopesa au Tigo Pesa.