Kujiunga chuo bila cheti cha form four

Kujiunga chuo bila cheti cha form four

Wizvee

Senior Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
106
Reaction score
44
Habari,
Naombeni kujuzwa kwa anayejua
kama kuna uwezekano wa kujiunga chuo bila kuwa na cheti cha form four, na kama ipo ni vyuo gani vinavyotoa huduma hiyo?, manake nimeskia tetesi kuwa Kuna uwezekano wa kujiunga kwa kuanza na Foundation..
Ivyo nahitaji kujua kama kuna ukweli.
Ahsanteni.
 
Through Mature entry qualifications (25 and above) ila nadhani experience ya kazi kwa kozi husika ni muhimu sana na kabla hujajiunga ni lazima ufanye entry examination. Huduma kama hiyo inapatikana Mzumbe University, UDOM na University of Iringa kama sijakosea. Kwa Foundation kozi (OFC) ya Open Univetsity of Tanzania ni lazima uwe na Cheti cha kidato cha nne tena chenye passes kuanzia 5 na Certificate ya kozi inayotambulika na serikali ya kuanzia mwaka mmoja na kuendelea. Tembelea websites za vyuo husika. Ruksa kunirekebisha
 
Let me use english samahani sana...for any internationally recorgnised university its under international rules to have an Ordinary Certificate thats when u can be given a foundation course to verify kama u can proceed with the degree course. Asanteni
 
Back
Top Bottom