Kujiunga na Kidato cha tano 2014/2015

Arash charlz

Member
Joined
Apr 23, 2014
Posts
50
Reaction score
1
Kwa aliye pata credit mbili katka masomo ya combination mfano histor D, kisw B,na english language C,{HKL} je kwa shule za private hawezi kusoma advance akiwa na daraja la nne alama 32?
 
angeweza kama angepata credit ya 3 ktk somo lolote mbali na hyo kombi
 
Kwa aliye pata credit mbili katka masomo ya combination mfano histor D, kisw B,na english language C,{HKL} je kwa shule za private hawezi kusoma advance akiwa na daraja la nne alama 32?

Da pole pamoja na kupunguza maksi hivo
 
hapa unaweza soma ila ukiwa unatafuta C moja
 
majina ya wanafunzi waliochaguliwa kidato cha tano mbona hayaonekani kulikoni?
 
Kwa aliye pata credit mbili katka masomo ya combination mfano histor D, kisw B,na english language C,{HKL} je kwa shule za private hawezi kusoma advance akiwa na daraja la nne alama 32?

kama angekuwa na daraja la tatu ingewezekana
 
hayo matokeo ya waliochaguliwa yako wapi wadau

HAYA NDO MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2014/2015

------------------------------------------------------

Wasichana Wote ====> herufi A mpaka Z

http://www.pmoralg.go.tz/menu-data/adverts/form-five-selection-2014/WASICHANA-SHULE-ZOTE.pdf

Wavulana ===> Herufi A mpaka L

http://www.pmoralg.go.tz/menu-data/...n-2014/WAVULANA-MAJINA-YA-SHULE-A-mpaka-L.pdf

Wavulana ===> Herufi M mpaka Z

http://www.pmoralg.go.tz/menu-data/...n-2014/WAVULANA-MAJINA-YA-SHULE-M-mpaka-Z.pdf
 
shukrani sana mwana jamvini much appreciation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…