Kujiunga na mifuko ya jamii kwa asiye muajiriwa

Kujiunga na mifuko ya jamii kwa asiye muajiriwa

mtelewa

Member
Joined
Mar 3, 2015
Posts
34
Reaction score
16
Wadau,mtu asiyekiwa muajiriwa,yaan ambaye ni self employed,anawezaje kujiunga na mmojawapo kati y mifuko ya kijamii iliyopo hapa bongo? Na je mafao yake yatalipwa kwa formula zinazofanana na wale waliojiunga kama waajiriwa? Uzoefu wenu plz.
 
Back
Top Bottom