mtelewa Member Joined Mar 3, 2015 Posts 34 Reaction score 16 Mar 22, 2015 #1 Wadau,mtu asiyekiwa muajiriwa,yaan ambaye ni self employed,anawezaje kujiunga na mmojawapo kati y mifuko ya kijamii iliyopo hapa bongo? Na je mafao yake yatalipwa kwa formula zinazofanana na wale waliojiunga kama waajiriwa? Uzoefu wenu plz.
Wadau,mtu asiyekiwa muajiriwa,yaan ambaye ni self employed,anawezaje kujiunga na mmojawapo kati y mifuko ya kijamii iliyopo hapa bongo? Na je mafao yake yatalipwa kwa formula zinazofanana na wale waliojiunga kama waajiriwa? Uzoefu wenu plz.