Habari wanaJF, naomba kama kuna mtu anajua chochote mchakato wa kujiunga na masomo ya certificate ya University of Dar es salaam School of journalism anielekeze. Ada ni shs ngapi? na masomo yanaanza tarehe ngapi? na jinsi ya kujiunga na kupata hizo fomu. Nimejaribu kwenda kwenye website yao hatahivyo hakuna habari kuhusu certificate courses na ada zake. Nitashukuru sana kwa msaada wako wowote juu ya hilo.