Mbelwa Germano
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 789
- 289
ndugu wana jf;
naombeni msaada wa kisheria kuhusu kujiunga na vyama vya wafanyakazi katika haya yafuatayo:
1.kujiunga na vyama vya wafanyakaz n lazma au hiari?
2.kukatwa mshahara kwa ajili ya kuchangia vyama vya wafanyakazi eg CWT kabla ya kujaza fomu{kusaini contract}/kujiunga na chama husika ni halali au ni wizi?
3.kama nakatwa mshahara kwa ajili ya kuchangia chama husika kabla ya kuingia mkataba/kujiunga na chama nifanyeje kisheria ili nipate haki yangu yani hela nilizokatwa kabla sijawa mwanachama?
4.je naweza kujitoa kwenye chama nilichopo? kama ndio je nifate taratibu zipi ili niweze kujitoa?
NB: Walimu wengi wamekua wakikatwa mishahara yao na CWT kabla hata ya kuingia mkataba na chama hicho, lakini wanashindwa kuchukua hatua kwa kutojua haki zao za kisheria za kazi na hii pia ipo hata kwenye mifuko ya pensheni, naomba wataalam wa sheria mliopo jamvini mtupe elimu juu ya maswala nilouliza hapo juu.
#JF HOME OF G THINKERS# nawasilisha.