Kujiuza nayo ni ujasiriamali???

Mmh! Kama ujasiriamali basi umachinga maana hata wamachinga nao wanajiita wajasi.
 

Watu wengi hawajui mtaji mkubwa(capital) kuliko yote waliyonayo ni wao wenyewe.na huwa inapungua kadiri umri unavyosogea.
 
Hivi na wale wanaume kwenye maofisi yao wanaonaniiwa nao ni ujasirimali ama mbali??
 
Mh! nipita tu jamani.....jf kuna mambo!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…