Kujiuzulu kimyakimya ni kulinda Staha, Ukiomba kibali kujiuzulu unatumbuliwa

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Iko hivi katika siasa!

Ukitaka kulinda Staha kwa wapigakura wako mwanasiasa fanya kujiuzulu tu kimyakimya!

Ukiomba kibari cha kujiuzulu ...utadhalilishwa kwa kutumbuliwa na kuharibiwa sifa kwa wapiga kura!

Wanasiasa za kuambiwa changanyeni na zenu!
 
Ujumbe umeeleweka.
Ila kwa faida ya kizazi kichanga;
zalilishwa = dhalilishwa.
 
Nani huyo anataka kujiuzulu mkuu
 
watu smart pekee hutoa taarifa kwa wananchi na si vinginevyo!
Yeah...eti ukitaka kujiuzulu uombe kinachotangulia ....barua fasta ya kutumbuliwa na kudhalilishwa
 
Nakumbuka Lazaro Nyalandu alipotangaza kujiuzulu ubunge na kujivua uanachama wa CCM, ghafla ikatoka taarifa ya CCM ikitangaza kumfuta uanachama na kumtaarifu Spika kuwa Lazaro sio mwanachama wa CCM tena.

Hapo ndipo niligundua matatizo ya afya ya akili hayapo kwa wananchi pekee wanaopitia ugumu wa maisha bali yapo hata kwa viongozi wanaokula kiulaini na kulala kwa kodi zetu.
 
Yaani hakuna serikali inayopenda kujihudhulu kwako utajivua lawama! Wanataka either uwe kafara wao wapone au uondoke na zigo la lawama!
Kwahiyo kama unataka kujihudhulu wewe piga chini bila kushauriana na mtu! Kulinda heshima kuna leo na kesho
 
Ujumbe umeeleweka.
Ila kwa faida ya kizazi kichanga;
zalilishwa = dhalilishwa.
Hahah dawa nikupiga nyama chini kimya kimya ....wakati mwingine siasa ni kama mapenzj ni mwendo wa kuviziana tu...eti unataka kumwacha mpenzi ..
Unamtext baby nawaza kama hujanifanyia hivi tutaachana!
Kinachofuata utaachwa wewe kwa maumivu kabla ya kuachana
 
Iko hivi katika siasa!

Ukitaka kulinda Staha kwa wapigakura wako mwanasiasa fanya kujiuzulu tu kimyakimya!

Ukiomba kibari cha kujiuzulu ...utadhalilishwa kwa kutumbuliwa na kuharibiwa sifa kwa wapiga kura!

Wanasiasa za kuambiwa changanyeni na zenu!
Anayeomba kujiuzulu hana nia ya dhati ya kufanya hivyo na hajiamini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom