Wanasiasa wasijaribu kuingia kingiUjumbe umeeleweka.
Ila kwa faida ya kizazi kichanga;
zalilishwa = dhalilishwa.
Nani huyo anataka kujiuzulu mkuuIko hivi katika siasa!
Ukitaka kulinda Staha kwa wapigakura wako mwanasiasa fanya kujiuzulu tu kimyakimya!
Ukiomba kibari cha kujiuzulu ...utadhalilishwa kwa kutumbuliwa na kuharibiwa sifa kwa wapiga kura!
Wanasiasa za kuambiwa changanyeni na zenu!
Yeah...eti ukitaka kujiuzulu uombe kinachotangulia ....barua fasta ya kutumbuliwa na kudhalilishwawatu smart pekee hutoa taarifa kwa wananchi na si vinginevyo!
Yaani hakuna serikali inayopenda kujihudhulu kwako utajivua lawama! Wanataka either uwe kafara wao wapone au uondoke na zigo la lawama!
Nakumbuka Lazaro Nyalandu alipotangaza kujiuzulu ubunge na kujivua uanachama wa CCM, ghafla ikatoka taarifa ya CCM ikitangaza kumfuta uanachama na kumtaarifu Spika kuwa Lazaro sio mwanachama wa CCM tena.
Hapo ndipo niligundua matatizo ya afya ya akili hayapo kwa wananchi pekee wanaopitia ugumu wa maisha bali yapo hata kwa viongozi wanaokula kiulaini na kulala kwa kodi zetu.
Hahah dawa nikupiga nyama chini kimya kimya ....wakati mwingine siasa ni kama mapenzj ni mwendo wa kuviziana tu...eti unataka kumwacha mpenzi ..Ujumbe umeeleweka.
Ila kwa faida ya kizazi kichanga;
zalilishwa = dhalilishwa.
Si tumekubaliana kimya kimyaMna pendekeza kina nani waji uzulu jf??
Haya bhana😄🤣Si tumekubaliana kimya kimya
Anayeomba kujiuzulu hana nia ya dhati ya kufanya hivyo na hajiaminiIko hivi katika siasa!
Ukitaka kulinda Staha kwa wapigakura wako mwanasiasa fanya kujiuzulu tu kimyakimya!
Ukiomba kibari cha kujiuzulu ...utadhalilishwa kwa kutumbuliwa na kuharibiwa sifa kwa wapiga kura!
Wanasiasa za kuambiwa changanyeni na zenu!
Anayeomba kujiuzulu hana nia ya dhati ya kufanya hivyo na hajiaminiIko hivi katika siasa!
Ukitaka kulinda Staha kwa wapigakura wako mwanasiasa fanya kujiuzulu tu kimyakimya!
Ukiomba kibari cha kujiuzulu ...utadhalilishwa kwa kutumbuliwa na kuharibiwa sifa kwa wapiga kura!
Wanasiasa za kuambiwa changanyeni na zenu!
Umeongea kweli kabisaAnayeomba kujiuzulu hana nia ya dhati ya kufanya hivyo na hajiamini
Sent using Jamii Forums mobile app