Kujiuzulu kwa mafisadi kutaleta mafanikio gani kwa TZ?

Kujiuzulu kwa mafisadi kutaleta mafanikio gani kwa TZ?

harakat

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
2,887
Reaction score
1,351
Kujiuzulu hawa watu bila kuwapeleka mahakamani naona hakutatoa suluhisho lolote kwa matatizo ya wananchi wa tz
kwa hiyo bado kazi ipo ya kushinikiza wafikishwe mahakamani.
 
Back
Top Bottom