harakat JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 2,887 Reaction score 1,351 Jul 15, 2011 #1 Kujiuzulu hawa watu bila kuwapeleka mahakamani naona hakutatoa suluhisho lolote kwa matatizo ya wananchi wa tz kwa hiyo bado kazi ipo ya kushinikiza wafikishwe mahakamani.
Kujiuzulu hawa watu bila kuwapeleka mahakamani naona hakutatoa suluhisho lolote kwa matatizo ya wananchi wa tz kwa hiyo bado kazi ipo ya kushinikiza wafikishwe mahakamani.
L lauti Member Joined Oct 28, 2010 Posts 92 Reaction score 13 Jul 15, 2011 #2 Umekosea sehemu ya kuwasilisha mawazo yako mkuu!