Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
kuna mantiki katika hili? Naona mmoja kasaini kuwa anashukuru Mungu kuwa mwanamke. mi nadhani ni ajali ya kibaiolojia tu kama ilivyo kwa imani ambayo ni matokeo ya kimazingira tu. umeshawahi kuwaza ungekuwa kinyume na jinsia uliyo nayo?
Huwezi ukajivunia kitu ambacho hujakifanyia kazi..simple logic points that way.
Unai fanyiaje kazi jinsia? sija kuelewa hapa?
Huwezi ukajivunia kitu ambacho hujakifanyia kazi..simple logic points that way.
Huwezi ukajivunia kitu ambacho hujakifanyia kazi..simple logic points that way.
usipojivunia ni kuwa unatamani kile ambacho hukupewa na utakuwa miserable kwa maana hutaweza kubadilisha.Ukibadilisha ndo utaonekana.........
Nadhani mtu mwenye moyo wa kujivunia kile alichonacho hata kama hakukifanya yeye anastahili pongezi.
Nilishasema kuwa baadhi ya mambo ni kwa neema tu. Hayo kiasili tunayaacha. Wakati mwingine kujivunia jambo la asili ni kujipa moyo tu. Mwanaume aliyezaliwa na homoni nyingi ya kike atajivunia?

Ume nena dada. Ni sawa na kujivunia kuwa Mtanzania. Hauku chagua kuzaliwa Mtanzania ume jikuta hivyo. Ila nita shangaa kweli kumsikia mtu hajivunii kuwa Mtanzania.
Nilishasema kuwa baadhi ya mambo ni kwa neema tu. Hayo kiasili tunayaacha. Wakati mwingine kujivunia jambo la asili ni kujipa moyo tu. Mwanaume aliyezaliwa na homoni nyingi ya kike atajivunia?
kuna mantiki katika hili? Naona mmoja kasaini kuwa anashukuru Mungu kuwa mwanamke. mi nadhani ni ajali ya kibaiolojia tu kama ilivyo kwa imani ambayo ni matokeo ya kimazingira tu. umeshawahi kuwaza ungekuwa kinyume na jinsia uliyo nayo?
'Kujivuna' na 'kushukuru' zina maana sawa?
Mtu anayejivunia jinsia yake anafanya nini hasa?(anadharau jinsia nyingine?)
Ndio tuone lugha yetu ya kiswahili ilivyongumu.... kujivunia ninakokuongelea mimi ni ile hali ya kufurahia,kuona fahari,kuridhika...( feel proud).Hiyo sentensi bold sijaelewa chanzo chake. Kwa hiyo unataka kusema kwamba mtu asipojivunia (kujitapa??) kuwa yeye ni mwanaume basi ina maana anatamani kuwa mwanamke, and vice versa? Na pia ina maana hajikubali alivyo?
Naona hapa kuna tatizo..