Eversmilin Gal
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 778
- 269
hakuna muda maalum ambao mwanaume anaweza kukaa bila kumega... ni uamuzi tu wa kutoendekeza hayo mambo
Mwanaume anaweza kustahimili mwaka mzima
Eversmilin Gal kwani mwaka mmoja wewe unaona ni muda mrefu? watu wanapiga miaka kadhaa bila ku-do... kama nilivyosema, ni uamuzi tu
Punguza *** ili ueleweke.
kuhusu mwanamke kuonekana malaya huo ni mfmo dume.kuweza wanaweza sana tu ila inaonekana hawawezi sababu asilimia kubwa wameegemea kutokuweza.msisitizo kila kitu ukikitawala kinawezekana mbona wakikaa jela wanaweza na wakikosa hawafi.natumai wote ni wazima wa afya.hivi ni kwa nini mahusiano either ni wachumba au wako kwenye ndoa wakiwa mbali na mwenzie mwanaume anapocheat inaonekana siyo ishu lakini inapotokea kwa mwanamke kusamehemewa probability yake ni ndogo sana na jamii pia inamchukulia ni ma**ya.kw jinsi ninavyojua kwa mtu kuamua hata mwaka unamaliza usifikirie mambo ya*** wanaume cjui naomaba tujadili mwanaume anaweza kukaa muda gani without doin *** au hawawezi kabsa nawasilisha karibuni
Mm kama sikuli tgo, upo uwezekano wa mwanaume mwingine kukula.
Sa uoni hpo kuna tatizo?
Afu nyie mnapokea, pia kuna uwezekano wa kupewa mimba na lijamaa jingine. Mimi dume siwezi kuambukizwa mimba.
zungumza pia kuhusu wanaumeKwa sababu mwanamke ndiye anapokea kimiminika....
Sasa ukipokea kwa huyu , kwa yule si unaonekana mchafu unachafuliwa hovyo, yaani hutunzi bakuli lako, limekaa kupokea kimiminika toka kwa mwanaume yeyote
natumai wote ni wazima wa afya.hivi ni kwa nini mahusiano either ni wachumba au wako kwenye ndoa wakiwa mbali na mwenzie mwanaume anapocheat inaonekana siyo ishu lakini inapotokea kwa mwanamke kusamehemewa probability yake ni ndogo sana na jamii pia inamchukulia ni ma**ya.kw jinsi ninavyojua kwa mtu kuamua hata mwaka unamaliza usifikirie mambo ya*** wanaume cjui naomaba tujadili mwanaume anaweza kukaa muda gani without doin *** au hawawezi kabsa nawasilisha karibuni
hakuna muda maalum ambao mwanaume anaweza kukaa bila kumega... ni uamuzi tu wa kutoendekeza hayo mambo