cruz vuitton
Member
- Sep 23, 2016
- 42
- 12
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 405689 kama kilivyo kichwa cha habari hapo juu,mimi nina mpango wa kufungua duka la kuuza dawa za mazoezi mwishoni wa mwaka huu.Bali sina uhakika wa jinsi ya kupata kibali hicho cha kuuza dawa hizo na kama wataka kubali kunipa hicho kibali.Watanzania naombeni msaada wenu
Nilikua nazitafuta hizi !! Ivi inakueje ndo zinafanya MTU awe body builder!!View attachment 405689 kama kilivyo kichwa cha habari hapo juu,mimi nina mpango wa kufungua duka la kuuza dawa za mazoezi mwishoni wa mwaka huu.Bali sina uhakika wa jinsi ya kupata kibali hicho cha kuuza dawa hizo na kama wataka kubali kunipa hicho kibali.Watanzania naombeni msaada wenu
bei yake hua ina range kwenye sh ngapi??ndio,zina saidia kua bodybuilder na pia wale vibonge kukonda au kupungua mpaka saiz waipendayo
Tuwekee number ya simu tukutafutenapatika dar es salaam ukitoa order nakuletea popote ulipo ndani ya dar