Kujua juu ya jinsi ya kupata kibali cha kuuza dawa za mazoezi

cruz vuitton

Member
Joined
Sep 23, 2016
Posts
42
Reaction score
12
kama kilivyo kichwa cha habari hapo juu,mimi nina mpango wa kufungua duka la kuuza dawa za mazoezi mwishoni wa mwaka huu.Bali sina uhakika wa jinsi ya kupata kibali hicho cha kuuza dawa hizo na kama wataka kubali kunipa hicho kibali.Watanzania naombeni msaada wenu
 

TFDA ndio wanaregulate dawa zote zikiwemo supplements.Watembelee wakupe utaratibu
 
Nilikua nazitafuta hizi !! Ivi inakueje ndo zinafanya MTU awe body builder!!
 
ndio,zina saidia kua bodybuilder na pia wale vibonge kukonda au kupungua mpaka saiz waipendayo
 
Toa na bei na eleza wapi unapatikana tujue
 
napatika dar es salaam ukitoa order nakuletea popote ulipo ndani ya dar
 
Aisee me ni kibonge, Nikon Na almost 98kg, but zinasaidia kushape body, maana [emoji123] nshaenda Sana but nadhani napiga menu Sana.
Also naweza kuwa agent wako.
 
fat burner zinasaidia kushape body una weza uka loose mpaka 50kg kama ukiwa unapiga msuli fresh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…