teac kapex JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 470 Reaction score 137 Oct 25, 2018 #1 Wapendwa naomba kama kuna mwenye link ya website ya polisi ile inayokuwezesha kujua kama gari inadaiwa, nilikuwa nayo lkn nilipo format simu ya gu kila kitu kikapotea. Natanguliza shukrani
Wapendwa naomba kama kuna mwenye link ya website ya polisi ile inayokuwezesha kujua kama gari inadaiwa, nilikuwa nayo lkn nilipo format simu ya gu kila kitu kikapotea. Natanguliza shukrani
Bonny JF-Expert Member Joined Feb 21, 2013 Posts 13,370 Reaction score 29,968 Oct 25, 2018 #2 Ingia kwenye hyo Link TMS CHECK - Tanzania Police Force
tinetini Member Joined Oct 15, 2018 Posts 72 Reaction score 45 Oct 30, 2018 #3 Usiende mbali mkuu piga *152*75# utachaguaa 1 watakwambiaa gar 2 reseni