Wanaojua taratibu za kufanya kujua kingingi cha nyumba yako ili utata uishe na jirani. Ndugu yangu amenunua nyumba Ilala mtaa wa Moshi. Hizi nyumba zilijengwa enzi za Nyerere sasa anataka kujua na kupata utaratibu aje apimiwe nyumba yake ajue alama ya nyumba yake ili achane na matatizo na mpemba.