mzee wa busara
Senior Member
- Aug 13, 2011
- 181
- 86
Tafadhari mi nikiwa ni mmoja wa wanufaika wa mkopo kutoka HESLB niliehitimu UDSM miaka kadhaa iliyopita,naomba kufahamu namna ya kuweza kuwasiliana na Bodi mikopo ili kujua ni kiasi gani natakiwa kulipa, sababu ni zaidi ya miaka miwili na nusu sasa wanafyeka tu kwenye salary yangu na sijui watakoma lini, nimejaribu kuwasiliana nao kupitia simu hawapokei, email hawajibu, na mimi nipo mbali na Dar .