kujua kiwango halisi ninachodaiwa na HESLB

mzee wa busara

Senior Member
Joined
Aug 13, 2011
Posts
181
Reaction score
86
Tafadhari mi nikiwa ni mmoja wa wanufaika wa mkopo kutoka HESLB niliehitimu UDSM miaka kadhaa iliyopita,naomba kufahamu namna ya kuweza kuwasiliana na Bodi mikopo ili kujua ni kiasi gani natakiwa kulipa, sababu ni zaidi ya miaka miwili na nusu sasa wanafyeka tu kwenye salary yangu na sijui watakoma lini, nimejaribu kuwasiliana nao kupitia simu hawapokei, email hawajibu, na mimi nipo mbali na Dar .
 

MKUU HUWEZI KUKWEPA KUFIKA BODI, NI SHARTI UENDE BODI THEN UTAPEWA FOMU YA KUANZA KULIPA DENI LAKO, BAADA YA HAPO UTAPEWA MAELEKEZO MENGINE. PIA UTAAMUA NJIA YA KULIPA MFANO KAMA NI KWA NJIA YA BENKI THEN UTAWASILISHA SLIP AU M-PESA LAKINI HIYO NI BAADA YA WEWE KUWA UMESHAFIKA BODI.:hail::hail::hail::hail:
 
kwenye salary slip lazima wakuonyeshe kikomo cha kukatwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…