Kujua kuhusu kilimo?

Kujua kuhusu kilimo?

Nelyst

New Member
Joined
Apr 24, 2017
Posts
2
Reaction score
0
Wataalamu,

Mimi ni mgeni katika kulima nataka kuanza kulima na hasa ni kilimo Cha mapapai, pilipili mbuz au kichaa na maparachichi! Naombeni mawazo je Niko sahihi kama nitapata soko? Je, changamoto ni zipi?

Au unanishauri ni lime nini ambacho Kiko kwenye soko?
 
How fard did you went in school? kwa kifupi ulisoma mpaka wapi? tuazie hapo maana siku hivi sio za kina babu na bibi zetu
 
Back
Top Bottom