Kujua kuhusu ubora wa Toyota Noah

Kujua kuhusu ubora wa Toyota Noah

GERERE

Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
30
Reaction score
19
Habari zenu wana jamvi naomba nieleweshwe kuhusu gari hilo toyota NOAH kwene mambo yafuatayo maana mungu kashusha neema

1)ulaji wake wa mafuta lita 1=KM?
2)inauwezo wa kusafiri umbali mrefu mfano DSM-KIGOMA (3trip per month?)
3)mwendo gan unatumia mafuta kdg?
4)matatizo common ya gari hili ni yapi?

nawasikiliza ndugu zangu
 
ni toyota NOAH Ndio ndio namaanisha sio NOAJ
 
3)mwendo gan unatumia mafuta kdg?
Mwendo unaotumia mafuta kidogo ni kati ya 80km/h mwisho iwe 105km/h, Hivyo hakikisha mshale wa speed hauvuki 105km/h

Yaani hakikisha rpm Haivuki 3, yaani mshale ucheze kwenye 2 - 3 hapo kati.
 
asante sana umenisaidia
 
hapo sijajua wazungumzia noah ipi.old model yenye engine ya 3S or new model yenye engine ya 1AZ FSE .
nazungumzia old model lkn unaweza nishauri mkuu ipi bora kwa vijana
 
Noah nzuri ni townace,mwaka 1999-2001.,
3s engine ulipata toleo limeandikwa super extra LIMO hapo umelamba dume,
Mafuta 9-11km/L
Mwendo wa 90-110km/h mafuta yanatumika vizuri
manosa @ vipi ubora wa gari hii noah unauonaje?
 
mm ukiniuliza ubora nitakwambia kamata new model yenye engine ya 1AZ FSE D4 inakula mafuta kidogo low emmision more power.

hapo kwa uraji wa mafuta hata noah yenye engine ya 3S FE haitii mguu.
 
Ni kweli mkuu ila inatakiwa usiwe rafu, mafuta sio ya vidumu, genuine oil maana zikianza kusumbua ni shida ila kwa ulaji wa mafuta nazikubali Na kwa safari ndefu utazipenda kwani injini inafungua utafikiri ina turbo
 
mm ukiniuliza ubora nitakwambia kamata new model yenye engine ya 1AZ FSE D4 inakula mafuta kidogo low emmision more power.

hapo kwa uraji wa mafuta hata noah yenye engine ya 3S FE haitii mguu.
samahan kwa hiyo engine inapiga lita moja kwa km ngapi?
 
mm ukiniuliza ubora nitakwambia kamata new model yenye engine ya 1AZ FSE D4 inakula mafuta kidogo low emmision more power.

hapo kwa uraji wa mafuta hata noah yenye engine ya 3S FE haitii mguu.
Acha kudanganya watu,nina noah aina zote,
1az ni shetan la mafuta,inavutia mbele balance ndogo sana ukiwa mwendo,
Jiulize kwa nini 3s bei ipo juu kuliko 1az?
 
Sio kweli mkuu tangia lini injini ya 3s ikala mafuta vizuri? Nishazitumia hizo Noah zote tena kwa safari ndefu za Dar to Mwanza nikagundua ipi inakula sana mafuta tena hizi Noah zeny e injini za 1az nyingine zina mfumo wa umeme yaani inaruhusu mafuta Kidogo sana kwenye dashboard inawaka taa imeandikwa eco yaani economy kwa kifupi ujue mafuta yanaenda kidogo
 
Why hizo 1az ni cheaper kuliko 3s?d4 engine zote zina taa ya economy,ukizidi 100km/h matumizo ni 7-8km kwa lita,
Usitulishe matango pori,
Nipo field ya usafiri
 
Gharama nilizotumia kwenye mafuta kwa hizo gari zilikuwa tofauti sana nilitumia Hela nyingi kwenye 3s na gari zote zilikuwa ni mpya bado so naongea kwa experience
 
Mpaka sasa ninafanya biashara na hizo gari ndio ofisi yangu,
Wateja wa long route nawapa 3s,town trip za kiboshoo 1az,
Tukubali kutokubaliana
 
Back
Top Bottom