Kuna kitu iwa kinanitatiza sana katika haya mahusiano ya mapenzi nacho ni kujua na kutojua.....naamini wengi iwa inawauma sana ukijua mpenzi wako anatoka nje ya ndoa. Je ni bora kuendelea kutojua?
Unajisikiaje ukichukua simu ya mpenzi wako na ukazama kwenye message na kujua anawanamke wengine wengi?
Jamani nisaidieni katika mapenzi ni bora kujua au kutojua anacho fanya mpenzi wako hususani na love affairs?
majina humo ndani unayasave kiaina aina.ningekuwa mimi madem zangu ningewasave kama ifuatavyo
1-kwa mjapani
2-baa mpya
3-kwa mtitu
4-gudi channeli
5-sebuleni
hivo hivo mzeya,hahahahahah
hahahahah!shemeji bwana inakuwaje hadi ajue?mimi nitahakikisha HAJUI,KAMA NOMA NA IWE NOMA!
kuna njia nyingi sana za kum-maintain ''secret-lover wako'',au tuseme ''kuwatumikia miungu wawili''.kuna moja imetumika saana kwenye series ya ''alias'' (samahani kwa wale wasio na hobby na movie).
Sydney aliweza kuwatumikia C.I.A na SD-6 bila hata mtu anae lala nae kitanda kimoja kujua!
Simple sana mzeya!ukiamua kuwa malaya,we kuwa malaya kwelikweli.tafuta simu ya gharama,ambayo ina fingeprints password BASI,UMEMALIZA KAZI HAPO!ATASUBIRI SANA!
majina humo ndani unayasave kiaina aina.ningekuwa mimi madem zangu ningewasave kama ifuatavyo
1-kwa mjapani
2-baa mpya
3-kwa mtitu
4-gudi channeli
5-sebuleni
hivo hivo mzeya,hahahahahah
sasa ume save hivyo vijina lakini nakuta sms inasema" jana nili enjoy sana tulivyo sex kuliko cku zote mpenzi wangu"....ndio huyo baa mpya! mambo mengine bwana, hapo mie ndio nitaharibu kabisa......
kuna simu zina passwords mpaka kwenye sms, motorola ni mfano wake.
zingine ni hizi smart phones kama za nokia ambazo unaweza kuinstall software ambayo unaweza kuset kublock baadhi ya simu na sms zisiingie. inamaana ukiwa na wife namba za vimeo zote unablock NO sms No calls!!
so hapo unaficha kila kitu, hata simu unaweza kuiacha kitandani lakini wife asiweze kuona au kufungua chochote, lakini ukiwa na simu za kawaida hizi kama za tochi UMEUMIA utakamatwa kama kuku mjinga!
hiyo msg utaionea wapi?UNACHEZA WEWE!kazi mnayo.....
hiyo msg utaionea wapi?UNACHEZA WEWE!
nikiamua usijue HUJUI TU MPAKA NAKULETEA MAGONJWA HUMO NDANI!
[/COLOR]
utapata faida gani hapo? unaubeba tu unakuja kunirushia mie au na wewe unakuhusu? mana umejitenga, hivi hufikirii wanao hata kidogo hapo?....
Gonjwa kama hili hata yeye litamfanya aoze!
let's take nakutrick kwa majina,how will you overcome the cituation?Mimi huwezi kunitreak na huo ujinga wa majina
tafuteni mbinu nyingine.
let's take nakutrick kwa majina,how will you overcome the cituation?
mie naonaga ni bora mtu atumie akili zake zote nicjue, wengine sie tumebakiwa na akili za kuvukia barabara tukijua tunafanyia ligi kabisa kama mbaya iwe mbaya......