Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,947 Reaction score 4,470 Aug 13, 2009 Thread starter #21 Nyani Ngabu said: Ni bora kujua na kufanya informed decision! Ukiamua kuwa naye ni kwamba umeamua hivyo kwa hiari yako mwenyewe. Click to expand... Tatizo kwa wale ambao wanaishi ndani ya ndoa utakuta wameishi miaka kama 20 wanasubili 5 tu waweke jubilei sasa unataka ujue nini hapo??? Ukisha jua utafanyaje si ndo mifarakano ndani yanyumba.
Nyani Ngabu said: Ni bora kujua na kufanya informed decision! Ukiamua kuwa naye ni kwamba umeamua hivyo kwa hiari yako mwenyewe. Click to expand... Tatizo kwa wale ambao wanaishi ndani ya ndoa utakuta wameishi miaka kama 20 wanasubili 5 tu waweke jubilei sasa unataka ujue nini hapo??? Ukisha jua utafanyaje si ndo mifarakano ndani yanyumba.