Kujua number ya TILL

Yobo mkubwa

New Member
Joined
Mar 14, 2020
Posts
3
Reaction score
3
Naomba msaada wa kujua TILL NUMBER kwa lain za tigo na voda bila kufika dukani kwao.

Asant sana.
 
Hiyo till ndio nini mkuu?
 
Kama laini ina float, jiwekee hata elfu moja kwenye laini yako ya kawaida, Till utaiona kwenye sms ya mpokeaji pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…