Kujua physical education

Mtoto mlito

New Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
4
Reaction score
0
jaman najanza sehemu ya kufanyia teaching practice lakin nakuta kuna,somo limeandikwa physical education je ni elimu ya viungo?????
 
Ndio physica education ni somo ambalo lipo kwenye mitaala ya vyuo vya ualimu hasa secondari na ni somo linalo husu namna viungo vya mwili vinavyo fanya kazi zikiwemo joints,muscles, mifupa nk na namna ya kutoa huduma ya kwanza kwa mtu anaye pata tatizo katika viungo hivyo mfano akiwa michezoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…