kujua si kosa

kujua si kosa

28619ed

Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
6
Reaction score
0
vp jamani majibu ya ifm,ruaha na institute of rural dvlpment yanatoka lini tujuzane
 
Unasoma vyuo vyote hivyo ama unataka udaku tu? Na unaulizia majibu ya nini?
No wonder graduates wa siku hizi mnakaa several years bila kupata ajira.
 
ww kuwamsomi mbonaunajibu kama unaimbamambo ya pwana kijana vp? nilikuanataka kujua kuhusu tcu lini wanaachia majibu yao
 
tcu bado mpaka 2nd round iishe na ivyo vyuo nahisi vinasubiri tcu mkuu
 
Naona kufikia 31/08/2012 hapatakuwepo swali lolote kuhusu TCU wala HESLB.WHY😀eadline zao wote ni 25/08/2012 ukiongeza hizo 5 mpaka 30/08/2012 nahisi zitatosha.
 
uko sawa kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom