Kujua uhalali katika jambo hili

john mohammed

Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
47
Reaction score
17
Endapo kutakuwa na mwanamke mwenye uwezo kielimu kupita wengine katika familia kisheria .anamamlaka ya kuwa msimamizi wa MAMBO YOTE YA KIFAMILIA??
 
Elimu siyo kigezo cha kuwa msimamizi, ingawa hujaeleza hayo mambo ya kifamilia ni yapi, yeye ni nani katika hiyo familia, na je, hakuna wazee, mfano baba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…