Kujua umechaguliwa wapi na TCU ingia hapa!

achen kujikuta mnataka sifa za kijinga kwa ish zilizo serious wajameni...
 
Shimoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo limetemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Acha ujinga mkuu hii linki ya chumbani kwako au mbona haifunguki.
 
ahsante sana mkuu, nimeona matokeo ya post yangu. wengine jaribuni tena vizuri, mtaona jedwali la kuandika details zako,lijaze na utaona tokeo la post zako.
 
either server iko chini au wameifunga hiyo link maana haifunguki kwa sasa
 
Kweli imefungwa maana haifunguk na ilikua fasta sana.
 
duuuuuh kumbe wamefunga.
bora nshachek ya kwang.
vumilien tu ndg zang mambo yatakaa sawa
 
nadhani imejaa wageni sio kwamba imefungwa. sidhani kama tcu wapo ofisini muda huu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…