Kujua umepata chuo gani ingia hapa

A-town

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2011
Posts
494
Reaction score
169
[h=5]Sasa kujua kama umepata chuo ni rahisi kama abc hebu gonga hapa na uingize taarifa zako au za yule unayemfahamu Home[/h]
 
Acha hizo watu wanamachungu bado hawajafanikiwa kupata vyuo,we unaweka uzi bila link acha ubwege
 
A CITY,mambo vp??kijana wa ma home,man nimeona ayo majina,vp kuhusu wale wa NACTE cos amna namna yakuangalia ulipo pangwa cos tunatumia email,
 
Acha hizo watu wanamachungu bado hawajafanikiwa kupata vyuo,we unaweka uzi bila link acha ubwege

Macho yako yana matatizo, au leo miwani imepotea hilo neno "Home" ni nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…