Kujua uzito wa mtoto awapo tumboni mwa mama.

Kujua uzito wa mtoto awapo tumboni mwa mama.

Loyal_Merchant

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
623
Reaction score
267
Nimekuwa nikisikia kwamba uzito wa mtoto ambaye bado hajazaliwa unaweza julikana kwa kutumia vipimo maalumu. Ninachojiuliza ni concept behind ya hivi vipimo ni ipi mpaka uzito wa mtoto alie tumboni unapimwa ilhal bado yupo tumbon mwa mama yake..?
 
Ultrasound, kwa kuangalia size yake unaestimate uzito.
 
ni kama alivyosema kang,japokuwa hawapatii exactly,give or take a few grams.
 
@kang.? Inamaana unataka sema kuna density constant ya mtoto awapo tumboni..? Na then kwa kujua volume wanatafta mass yake?
 
Back
Top Bottom