Loyal_Merchant JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 623 Reaction score 267 Aug 19, 2011 #1 Nimekuwa nikisikia kwamba uzito wa mtoto ambaye bado hajazaliwa unaweza julikana kwa kutumia vipimo maalumu. Ninachojiuliza ni concept behind ya hivi vipimo ni ipi mpaka uzito wa mtoto alie tumboni unapimwa ilhal bado yupo tumbon mwa mama yake..?
Nimekuwa nikisikia kwamba uzito wa mtoto ambaye bado hajazaliwa unaweza julikana kwa kutumia vipimo maalumu. Ninachojiuliza ni concept behind ya hivi vipimo ni ipi mpaka uzito wa mtoto alie tumboni unapimwa ilhal bado yupo tumbon mwa mama yake..?
Kang JF-Expert Member Joined Jun 24, 2008 Posts 5,655 Reaction score 2,506 Aug 19, 2011 #2 Ultrasound, kwa kuangalia size yake unaestimate uzito.
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,855 Reaction score 24,925 Aug 19, 2011 #3 ni kama alivyosema kang,japokuwa hawapatii exactly,give or take a few grams.
Loyal_Merchant JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 623 Reaction score 267 Aug 19, 2011 Thread starter #4 @kang.? Inamaana unataka sema kuna density constant ya mtoto awapo tumboni..? Na then kwa kujua volume wanatafta mass yake?
@kang.? Inamaana unataka sema kuna density constant ya mtoto awapo tumboni..? Na then kwa kujua volume wanatafta mass yake?